‘RC Makonda anatuhumiwa kuingilia haki, uhuru na madaraka ya Bunge’

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amehojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa saa tatu kuhusiana na tuhuma zinazomkabili. Makonda anatuhumiwa kuingilia haki, uhuru na madaraka ya Bunge. Taarifa zilizotolewa na Ofisi ya Bunge jana, zilisema Makonda aliwasili bungeni Dodoma jana saa nne asubuhi kuitikia wito wa kamati hiyo uliotokana na …

Rais Kikwete Alivunja Bunge, Asema Nitawa-Miss Watanzania

RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amelivunja bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania mjini Dodoma mara baada ya kulihutubia ikiwa ni hatua za kumalizia utawala wake kabla ya kukabidhi kijiti kwa rais atakayechaguliwa hapo baadaye Oktoba. Katika hotuba yake ametaja mafanikio lukuki ambayo yamepatikana ndani ya utawala wake huku akijinasibu kutekeleza asilimia 88 ya ahadi zake kwa Watanzania. “…Tulipanga kufanya …

Hotuba ya Waziri Mkuu Pinda Akiliahirisha Bunge

HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 18 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 7 FEBRUARI, 2015 I: UTANGULIZI (a) Masuala ya jumla Mheshimiwa Spika, 1. Tumekuwepo hapa kwa takriban siku 12 katika shughuli za Mkutano wa 18 wa Bunge lako Tukufu. …

Maagizo ya Waziri Mkuu Pinda Yaendelea Kufanyiwa Kazi na Polisi!

Miezi kadhaa iliyopita waziri Mkuu Pinda alitoa maagizo wakati anazungumza bungeni kwamba Watanzania wataokuwa wanaandamana “wapigwe tu”. Tokea agizo hilo litolewe na mkuu huyu, polisi wetu wameendelea kuwa wakatili na wanyama dhidi ya Watanzania wenzao kwa kisingizio kwamba wanavunja sheria. Mimi sio hakimu, na wala sitaki kuingia kwenye mjadala kwamba wamevunja sheria au lah! Tatizo ninalo liona hapa ni uvunjaji …

Waziri wa Nishati na Madini ‘Avunja’ Kikao cha Bunge

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesababisha kuvunjika kwa kikao cha Bunge kilichokuwa kikiendelea usiku huu mjini Dodoma baada ya azimio la kumuwajibisha lililotolewa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuleta mzozo katika kikao hicho kabla ya kuvunjika. Bunge lilikuwa likipitia mapendekezo ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyofanya uchunguzi wa tuhuma …