Na Mwandishi Wetu OFISI ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), imealika wataalamu wa kilimo ili kuchambua na kutoa mapendekezo juu ya namna bora nchi inavyoweza kutatua changamoto ya masoko kwa wakulima. Ili kufikia lengo hilo, maabara ndogo ya siku tano imeandaliwa ili kutathmini mifumo ya sasa ya masoko kwa mazao ya mahindi …
Waziri Mkuu Pinda Azinduwa Ripoti ya BRN Dar
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema kuwa Serikali itahakikisha kuwa sekta na miradi inayotambuliwa na kuingizwa kwenye Mfumo wa Tekeleza kwa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now au BRN) ni ile yenye manufaa makubwa na ya haraka kwa wananchi walio wengi. Ametoa kauli hiyo leo Machi 5, 2015 wakati akizungumza wa wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa taarifa ya mwaka wa kwanza …
BRN Yatekeleza Mengi Ndani ya Mwaka
Na Mwandishi Wetu MPANGO wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ambao Serikali ya Tanzania imeanza kuutekeleza tangu Julai, 2013 umeleta matokeo makubwa yatakayosaidia kukuza uchumi wa nchi na huduma kwa wananchi. Hayo yalisemwa juzi visiwani Zanzibar na Mtendaji Mkuu kutoka Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekeleaji wa Miradi (PDB) inayosimamia utelezaji wa BRN kwa Tanzania Bara, Omari Issa alipokuwa …
Ubunifu wa BRN Wavutia Wawekezaji Sekta Binafsi
Na Mwandishi Wetu MKUTANO wa kwanza wa aina yake ulioandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) umefanikiwa kuwakutanisha mahali pamoja wawekezaji wakubwa kutoka mataifa mbalimbali ili kujionea fursa za uwekezaji katika miradi mbalimbali iliyopewa kipaumbele katika Mpango huo. BRN ni Mpango ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania tangu Julai mosi, 2013 kwa lengo la kuchagua sekta chache za kipaumbele na …
Pinda: BRN ni Nguzo ya Mageuzi Kiutendaji
Na Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema kuwa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ni chachu ya kuleta mageuzi katika utendaji na utekelezaji wa miradi nchini. Waziri Mkuu aliyasema hayo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki alipokuwa akifunga maabara ya sekta ya afya. BRN ni mfumo maalum wa utekelezaji wa miradi ulioanzishwa na Serikali ya …