Watafutaji Ajira Tanzania Wahamasishwa Kujisajili na Brighter Monday…!

Meneja Masoko wa kampuni ya Brightermonday Tanzania, Lugendo Khalfan ndani ya Banda la Jakaya Kikwete akiwa tayari kukuhudumia wewe mtanzania utakayetembelea banda lao katika viwanja vya maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ‘Sabasaba’, yanayoendelea kurindima kwenye viwanja vya Mwl. J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Watafuta ajira kote nchini Tanzania wamehamasishwa kujisajili na tovuti ya Brighter monday ili …