Jenerali Mtaafu Hashimu Mtezo Afariki Dunia

JESHI la Ulinzila Wananchiwa Tanzania (TWTZ) linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali (mstaafu) Hashimu Said Mtezo kilichotokea tarehe 04 Oct 14 kwa ugonjwa katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo Dar es Salaam alipokuwa akipata matibabu. Alizaliwa Machi 18, 1945 Wilayaya Dodoma mjini katika Mkoa wa Dodoma, alisoma katika shule ya Sekondari ya Tabora kuanzia mwaka 1962 hadialipohitimu Kidato cha Sita …