Wanajamvi, leo tunaingia sehemu ya tatu, na ya mwisho ya makala yetu yenye kichwa cha habari hapo juu. Mara nyingine tena, kama umepitwa na makala zilizotangulia (sehemu ya 1 & 2), basi sio tatizo, wewe ingia kwenye “Popular Posts” hapo mkono wa kulia na utaziona zote. Tukirudi kwenye mada, Ziglar anaendelea kusema kwamba mtu anayeishi maisha bora, anajua (au …