Diamond: Siwezi Kwenda Mahakamani…!

MSANII nyota wa muziki wa bongo fleva Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz amesema kamwe hawezi kwenda mahakamani kumshtaki mtu kwa ajili ya kashfa na vituko ambavyo vimekuwa vikimuandama kwenye vyombo vya habari. Msanii huyo Diamond Platnumz alisema kwa sasa yeye ni msanii pekee ambaye anaandikwa sana na vyombo vya habari kuhusiana na kasha na maswala mengine katika maisha yake binafsi …

Viatu Virefu Vyamuumbua Msanii Vanesa Mdee Jukwaani…!

Na Mwandishi Wetu, Dar UVAAJI wa viatu virefu bila kuwa na uzoefu navyo au kufanya mazoezi namna ya kuvitembelea usiku huu vilimuumbua msanii maarufu wa bongo fleva, Vanesa Mdee katika Ukumbi wa Mlimani City. Tukio hilo lilimkumba msanii Mdee akiwa katika jukwaa la Kilimanjaro Tanzania Music Award (KTMA) alipopanda kuchukua tuzo yake ya Mwanamuziki Bora wa R&B 2014. Msanii huyo …