Taasisi za NHIF na PPF Wamenyana Katika Bonanza la Pamoja

 Kipa wa timu ya soka ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akichupa kuzuia mpira wa penati bila mafanikio wakati timu hiyo ilipomenyana na ile ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, NHIF, wakati wa bonanza la pamoja la taasisi hizo mbili lililoandaliwa na PPF na kufanyika kwenye viwanja vya Chuo Cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam Septemba 5, …

NSSF Yaisimamisha Sekretarieti ya NSSF Media Cup

NSSF Media Cup, Bonanza, Dar BAADA ya kuenguliwa kwa timu tano za vyombo vya habari vya Global, Changamoto, Business Times, Radio Maria na New Habari kutokana na kuchelewa kuwasilisha majina ya wachezaji kwenye usajili, ikiwa ni mara ya kwanza katika miaka 12 tatizo kama hili kutokea, NSSF iliona ni vyema kutengua kanuni hii na kuweka adhabu itakayotosha kosa hili, na …

NSSF Media Cup 2015 Yafunguliwa Dar…!

    Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akihutubia baada ya kufungua mashindano hayo.  Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga (katikati), akiwa meza kuu na viongozi mbalimbali waliohudhuria ufunguzi wa mashindano hayo. Kutoka kulia ni Mkuu wa Idara ya Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,Ludovick Mrosso, Mwenyekiti wa Bodi …

Matukio Bonanza la Nguvu ya Kodi…!

Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Bw. Leornad Thadeo  akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu hayati  baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere alipofariki  Dunia  Jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo limemkumbuka Baba wa Taifa kwa kutoa Elimu na …

Mashindano ya Kukuna Nazi kwa Akinababa, Bonanza la Toyota Tanzania

 Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, juzi Agosti 23, 2014. Katika Bonanza hilo timu ya Rav 4 iliibuka mshindi wa jumla katika michezo yote iliyochezwa ikifuatiwa na timu ya Hilux, VX na Prado. Picha zote na www.sufianimafoto.com    Mkurugenzi …