SENETA wa mjini Bama nchini Nigeria, Ahmed Zanna amesema kwamba wakazi wa eneo hilo wamezuiwa kuwazika jamaa zao waliouawa na wapiganaji wa Kiislam wa Boko Haram. Taarifa zaidi kutoka Mji wa Bama ikiwa ni miongoni mwa miji iliyotekwa na wapiganaji wa Kiisilamu wa Boko Haram Kaskazini Mashariki mwa Nigeria, wamezuiwa kuwazika ndugu zao waliouwawa. Taarifa za kina zinasema hivi sasa …