Prof. Ndalichako Atumbua Majipu Bodi ya Mikopo, Mkurugenzi Atimuliwa

Na Jacquiline Mrisho MAELEZO WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof. Joyce Ndalichako amesitisha mkataba wa ajira wa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo, George Nyatega pamoja na kuwasimamisha kazi Wakurugenzi watatu. Ameyasema hayo leo Jijini Dar es salaam alipokuwa akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu matatizo ya kiutendaji na matumizi mabaya ya fedha za Umma yanayofanyika …