DC Apiga Marufuku Bodaboda Kuendeshwa Usiku wa Manane Muheza

Mkuu wa wilaya ya Muheza Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza na bodaboda wa wilaya hiyo ambapo alikutana nao na kuzungumza nao kwenye uwanja wa Jitegemee wilayani humo ambapo alipiga marufuku kuendeshwa usiku zaidi ya saa sita.     Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza (DAS) akizungumza katika mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa wilaya hiyo,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo aliyekaa kushoto na anayefuata ni Mwenyekiti wa …

Mkuu wa Wilaya Asema Serikali Ipo Tayari Kuchukiwa na Wavivu

  Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mirajji Jumanne Mtaturu akisisitiza jambo wakati wa kufunga mafunzo ya waendesha pikipiki.   Mkurugenzi wa Taasisi inayojihusisha na kupunguza umasikini na kutunza mazingira nchini Tanzania (APEC), Respicius Timanywa akiwashukuru washiriki wote wa mafunzo hayo.   Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mirajji Jumanne Mtaturu akisisitiza juu ya umuhimu wa mafunzo ya usalama barabarani. Dc Mtaturu akionyesha kuku …

Mrema Aanza Kazi Azungumza na Bodaboda, Ampa Siku Saba Makonda

        MWENYEKITI wa Bodi ya Taifa ya Parole, Augustino Lyatonga Mrema leo amezungumza na waendesha pikipiki za abiria maarufu kama bodaboda pamoja na waendesha bajaji wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, na kusikiliza malalamiko mbalimbali dhidi yao. Akiwakilisha kilio chao, Katibu wa Chama cha Waendesha Bodaboda na Bajaji wa Wilaya ya Kinondoni, George Mbwale alisema licha …

Kamata Kamata Bodaboda na Bajaji Dar, Jiji Lageuza Biashara..!

ZOEZI la kupiga marufuku bodaboda na bajaji zinazofanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam limegeuka biashara kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam hasa kwa watumiaji wa pikipiki hizo kwa ajili ya usafiri binafsi wa kawaida kwenda na kurudi kazini, pamoja na makampuni yanayotumia chombo hicho cha usafiri. Halmashauri ya jiji sasa imeanza kuwatoza watu binafsi na …