Bodaboda Arusha Waua Mtu Baada ya Kumfananisha

Na Vero Ignatus, Arusha MTU moja ambaye jina lake hajijafahamika ameuawa na wananchi wenye hasira kali huko maeneo ya kwa Mrombo Jijini Arusha, akidhaniwa kuwa ni mwizi wa pikipiki baada ya mtu huyo kupita na kufananishwa na waendesha pikipiki hao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo (pichani juu) amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema kuwa majira ya saa saba mchana wananchi hao walimuona mtu …

Chama cha Bodaboda Liwale Chakopesha Pikipiki 62 kwa ‘Bodaboda’

Mgeni rasmi akikabidhi pikipiki kwa mwanacha hii leo maeneo ya ofisi za chama cha bodaboda. Afisa maendeleo ya jamii wilayani Liwale bibi Mary Ding’ohi akifafanua jambo.   Na Mwandishi Wetu, Liwale CHAMA cha waendesha bodaboda wilayani Liwale mkoani Lindi kimetoa mikopo ya pikipiki kwa wanachama wake wapatao 62 zenye thamani ya shilingi 92,000,000. Chama hicho kilipata mkopo wa pikipiki 20 zenye …

Ujumbe wa Leo!

Tumegundua hizi jumbe za mjini Dar huwa zinajibishana kwasababu kuna ujumbe mmoja (kwenye Bodaboda) tuliweka hapa ulikuwa unasema “Usije Mjini” na huu wa leo kwenye Bajaji unasema “Mjini Hafukuzwi Mtu” hivyo ndio viroja vya Dar! Picha na MpigaPicha Maalum wa Thehabari, Dar