Bloggers Tanzania ‘Wampigia’ Magoti Rais Kikwete

Na Mwandishi Wetu MTANDAO wa waandishi wa habari za mitandao Tanzania (Bloggers Network-TBN) umemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete kutumia mamlaka yake kutoupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.    Kwa mujibu wa taarifa ya TBN iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imesema Muswada wa sheria ya makosa …