Apollo Wavuna Viungo 23 vya Binadamu Waliojitolea

KAMA watoa huduma za afya wanaoongoza barani Asia Hospitali za Apollo zimekuwa maarufu na kukubalika kwa mafanikio yake kitabibu na kujitoa kwake katika kuboresha maisha ya watu. Katika hali ambayo hutokea mara chache kati ya wataalamu wa utabibu Apollo waliendesha zoezi la upandikizaji wa viungo kwa kipindi cha siku moja. Matukio yaliyofanyika tarehe 4 Mei 2015 chini ya Hospital kuu …