Na Raymond Mushumbusi MAELEZO SERIKALI imejipanga kutoa huduma bora za afya kwa wananchi kwa kuwawezesha kila mwananchi kupata Bima ya Afya itakayosaidia kupata huduma bora za afya katika zahanati na hospitali mbalimbali. Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Faida Mohammed Bakar (CCM) lililouliza kuwa bado kuna ukiukwaji wa huduma za afya, haki za afya na haki za uzazi katika …
NHIF Yatoa Somo kwa WanaTBN Juu ya Bima ya Afya
MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti, akifafanua jambo wakati alipokuwa akiwasilisha mada juu ya mpango wa uchangiaji binafsi, KIKOA, wakati wa warsha ya siku moja iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF, na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania, …
January Makamba Ahaidi Bima ya Afya kwa Kila Mtanzania
Na Joachim Mushi IDADI ya watia nia ya kugombea nafasi ya urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imezidi kuongezeka huku wanaojitokeza wakiendelea kutoa ahadi nono na za kuvutia kwa Watanzania. Jana mgombea January Makamba amejitokeza kutangaza nia ambapo miongoni mwa vipambele vyake ni kutoa huduma bora za afya huku akiahidi kumpatia bima ya afya kila Mtanzania …
NHIF Yateta na Wahariri Bagamoyo
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF Khamis Mdee akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kwenye hoteli ya Oceanic Bay mjini Bagamoyo asubuhi hii wakati wa seina inayojadili masuala mbalimbali yakiwemo mafanikio ya mfuko huo, malengo na Changamoto zake katika kufanikisha huduma ya afya kwa jamii, ambapo uwigo wa walengwa katika huduma hizo umeongezeka …