Barabara ya Mwenge-Tegeta Yagharimu Bilioni 77.85

BARABARA ya Mwenge-Tegeta ya jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 12.9 imegharimu kiasi cha Sh. bilioni 77.85, fedha ambazo zimetolewa na Serikali ya Japan kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la JICA. Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Oktoba Mosi, 2014, alipokuwa akizindua rasmi Barabara hiyo iliyojengwa kisasa ambayo ni sehemu ya Barabara ya New …