Bodi ya Ugavi Yawafunza Wanafunzi TIA Mbeya Manunuzi

Na Mwandishi wetu BODI ya manunuzi na ugavi (PSPTB) imetoa mafunzo kwa wanafunzi wanaosoma masomo ya manunuzi na ugavi katika chuo cha uhasibu(TIA) Mbeya. Katika mafunzo hayo wito ulitolewa kwa Taasisi binafsi na serikali kuepuka kutoa ajira katika sekta ya manunuzi na ugavi kwa watu ambao hawana taaluma hiyo wala kusajiliwa na Bodi ya PSPTB. Wito huo ulitolewa na Mwakilishi …