JK Ataka Ushindani Bidhaa za Tanzania

Na Magreth Kinabo – MAELEZO RAIS Jakaya Kikwete amewataka wafanyabiashara nchini kuongeza juhudi za kuboresha ubora wa bidhaa zao ili ziweze kushindana na zile za nje ya nchi. Rais Kikwete amewapongeza washiriki wa maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa kwa kuongeza ubora wa bidhaa ambao kila mwaka kumekuwa na tofauti. Kauli hiyo imetolewa na Rais Kikwete wakati akitembelea maonesho ya 38 ya Biashara ya …