Repoa Yataka Wafanyabiashara Ndogondogo Wanawake Wawezeshwe

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika Equality for  Growth (EfG), Jane Magigita akizungumza na waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo Dar es salaam leo. Ofisa Programu Dawati la Uangalizi wa Serikali wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Hussein Sengu (kulia) akitoa mada katika Kongamano la siku mbili la Wanawake Wafanyabiashara Sokoni Tanzania lililofanyika Dar …

Mradi wa Tier Kuimarisha Mazingira ya Biashara Tanzania

Na Mwandishi Wetu MAZINGIRA ya biashara nchini Tanzania yataendelea kuimarika na kuinufaisha nchi na wananchi kwa ujumla iwapo mradi wa Tier 1 utatekelezwa kikamilifu kwa wakati na kuzingatia malengo yanayokusudiwa. Mradi wa TIER 1 ni mradi unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP wenye lengo la  la kujenga uwezo wa kuchambua, kushirikisha kuongeza ufanisi wa watendaji wa …