Tangazo la Msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu

TANGAZO LA  KIFO CHA MAMA MZAZI WA AKINA MWAIBALE  Familia ya  Mwaibale inatangaza kifo cha mama yao mpendwa, Twitikege Mlagha Mafumu kilichotekea jijini Dar es Salaam leo saa 5 usiku wakati akipelekwa  Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu.   Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa mtoto wake Mwalimu Mary Anyitike, eneo la Bucha Mbagala Kuu …