I Love Bi. Kidude…!

‘Makala ya Kusisimua yenye matukio yenye hisia nzito.’  ANDY Markowitz, Tovuti ya Muziki wa Filamu Music Film Web ‘Tafakari ya kusisimua ya urafiki usio wa kawaida kati ya Kijana Mtengenezaji wa filamu na diva wa Zanzibar mzee wa miaka 100 Zanzibar diva’ Garth Cartwright – mwandishi, “More Miles Than Money”Umbali mkubwa kuliko fedha” ‘Uwasilishaji wa wa nyota …iliyofifia na kuifanya ing’are upya’ Martin Mhando, Mkurugenzi ZIFF Nilimpiga …