WAZIRI wa Kazi na Ajira nchini Tanzania, Gaudensia Kabaka ameipongeza Benki ya Posta Tanzania (TPB) pamoja na Mfuko wa PSPF kwa kushirikiana na kuanzisha mpango wa utoaji wa mikopo ya elimu kwa vijana pamoja na mkopo wa kuanzia maisha kwa wafanyakazi. Waziri Kabaka ametoa pongezi hizo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizinduwa huduma ya mkopo wa elimu kwa wanachama …
- Page 2 of 2
- 1
- 2