Benki ya Posta Yajenga Vyoo Shule ya Msingi Makambi, Ruvuma

 Wanafunzi wa shule ya msingi ya Makambi iliyopo Kata ya Ndilima Litembo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakifurahia vyoo vya kisasa vilivyojengwa na Benki ya Posta Tanzania.  Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Benki ya Posta, Noves Moses akiongea kwenye mkutano katika shule hiyo muda mfupi kabla ya kuzindua vyoo hivyo.  Meneja Mwandamizi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Benki ya Posta, Noves Moses …