Mkurugenzi Mtendaji Benki ya NMB Plc Ashinda Tuzo ya Biashara

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc, Ineke Bussemaker (kulia) akipokea tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Kike wa Mwaka 2015 (Business Women of the Year 2015) kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Quality Group Limited, Arif Sheikh (kushoto) katika hafla ya Tuzo za viongozi (Tanzania LeaderShip Awards) iliyofanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar Es Salaam. Mkurugenzi …