Timu ya NMB Yamkabidhi Kikombe cha Ushindi Mkurugenzi Mtendaji

NAHODHA wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Benki ya NMB, Richard Mwalwiba amekabidhi rasmi vikombe vya ushindi wa Mashindano ya Ligi ya Mabenki ‘Brazuka Kibenki’ kwa Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Bi. Ineke Bussemaker ikiwa ni pamoja na kutoa shukrani kwa uongozi wa benki hiyo kwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwa timu yake. Makabidhiano hayo yamefanyika leo Makao Makuu ya …

Benki ya NMB Plc Yaisaidia Zahanati ya Kimara Vifaa Tiba

Mganga Mfawidhi Zahanati ya Kimara, Dk. Alphoncina Mbinda (kushoto) akipokea baadhi ya mashine za kupimia mapigo ya moyo kwa mgonjwa kutoka kwa Meneja Uratibu wa NMB Plc, Thomas Kilongo. Miongoni mwa mashine zilizotolewa ni pamoja na mashine ya kupimia joto la mgonjwa, mashine 10 za kupimia ‘BP’ kwa mgonjwa, mashine 10 za kupimia mapigo ya moyo, mzani wa kupimia uzito …