Je, Waujua Ugonjwa wa Bawasiri au Kuota Nyama Sehemu ya Haja Kubwa…!

~Watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI?!! ~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama …