Waziri Membe Azinduwa Mkutano Baraza la Wafanyakazi

Na Anitha Jonas – MAELEZO WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe amefungua Mkutano wa Tisa wa Baraza la Wafanyakazi uliolenga kujadili masuala mbalimbali ikiwemo urejeshaji wa wafanyakazi wa wizara yake walioko nje ya nchi. Hayo yasemwa leo na Waziri Membe alipokuwa akifungua mkutano huo ulihusisha wafanyakazi wa Wizara pamoja viongozi wa TUGHE, kwa lengo la …

Serikali Yaahidi Kuisaidia NIDA Kufikia Malengo

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima leo amefungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kilichofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach ukumbi wa Kambarage, Dar-es-salaam na kuahidi serikali kuendelea kusaidia NIDA ili kufikia malengo ya serikali ya awamu ya Nne ya kila mtanzania kuwa amesajiliwa na kupata Kitambulisho chake. Akimkaribisha …