Baraza la Madiwani Kinondoni Lavunjwa Rasmi, Mwinyi Ashiriki

Na Mwandishi Wetu HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imevunja rasmi Baraza la Madiwani ambapo mgeni rasmi katika shughuli hiyo alikuwa ni Rais mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi. Shughuli hizo zilitanguliwa na kikao cha baraza kupokea taarifa ya utekelezaji ambapo baada ya hapo mgeni rasmi Rais Mstaafu Mwinyi aliwasili na kufuatiwa na tukio la kukagua mabanda maalum …