Tanroads: Tunaijenga Barabara ya Kamanga Ferry kwa Lami

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO WAKALA wa Barabara nchini Tanzania (TANROADS) imesema inaendelea na ujenzi wa Barabara itokayo Kamanga Ferry kuelekea Sengerema kwa kiwango cha lami ili kurahisisha usafiri na usafirishaji katika eneo hilo. Hayo yamesemwa leo na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza Mhandisi Leonard Kadashi alipokuwa akizungumza na Mwandishi wa Habari ofisi kwake kutolea ufafanuzi suala la Barabara ya …

Serikali Yasaini Makubaliano Ujenzi Barabara ya Arusha – Holili

Na Raymond Mushumbusi Maelezo SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano leo imesaini mkataba wa makubaliano ya awali ya ujenzi wa barabara kutoka Arusha mpaka Holili. Makubaliano hayo yamesainiwa na Mkurugenzi wa Barabara kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Ven Ndyamukama kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Naibu Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano (JICA) Bw …