WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ametoa wiki mbili kwa mkandarasi ESTIM Construction anayejenga barabara ya Bagamoyo, Sehemu ya Morroco-Mwenge kilomita 4.3 kukamilisha ujenzi wa barabara hiyo. Akizungumza mara baada ya kukagua barabara hiyo, Prof. Mbarawa amesema baada ya wiki mbili barabara hiyo itafunguliwa kwa ajili ya matumizi ili kupunguza msongamano wa magari yanayoingia na kutoka katikati …
Barabara ya Mwenge-Tegeta Yagharimu Bilioni 77.85
BARABARA ya Mwenge-Tegeta ya jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 12.9 imegharimu kiasi cha Sh. bilioni 77.85, fedha ambazo zimetolewa na Serikali ya Japan kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la JICA. Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Oktoba Mosi, 2014, alipokuwa akizindua rasmi Barabara hiyo iliyojengwa kisasa ambayo ni sehemu ya Barabara ya New …
Rais Kikwete Afungua Barabara ya Mwenge – Tegeta
Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. Wananchi wakifurahia hotuba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati …