Serikali Kujenga Barabara ya Mtwara-Masasi Kiwango cha Lami SERIKALI imesema itaanza ujenzi wa barabara ya Mtwara-Masasi KM 210 sehemu ya Mtwara-Nnivata yenye urefu wa KM 50 kwa kiwango cha lami mwezi Aprili mwaka huu, ili kurahisisha usafiri kwa wakazi wa maeneo hayo na kufungua fursa za kiuchumi katika mkoa huo na nchini jirani ya Msumbiji. Akizungumza na wananchi …
Mkuu wa Wilaya Same Ashiriki Kuchimba Barabara na Wananchi
Na Mathias Canal, Kilimanjaro MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Rosemary Staki Senyamule amejumuika na wananchi wa Kata ya Vudee katika shughuli ya uchimbaji wa barabara ya Bureni Iramba-Kwanamburi iliyopo katika kijiji cha Bureni Iramba. DC Staki amejitokeza katika shughuli hiyo ikiwa ni muendelezo wa kujumuika pamoja katika shughuli za maendeleo ya wananchi na kuwahamasisha kujitokeza katika kufanya …
Serikali Kuunganisha Mikoa ya Mbeya na Njombe kwa Lami
SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kuanza ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete kwa kiwango cha lami yenye urefu wa KM 109.4 inayounganisha mikoa ya Mbeya na Njombe ili kurahisisha huduma ya usafiri wa barabara kwa wakazi wa mikoa hiyo. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amesema hayo mkoani Njombe wakati akiongea na …
Waziri Mbarawa Awapa Miezi Miwili ‘Wachina’ Kumaliza Barabara ya Nakapanya
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ametoa miezi miwili kwa mkandarasi wa kampuni ya M/s Jiangxi Geo-Engineering (Group) Corporation anayejenga sehemu ya barabara ya Mangaka-Nakapanya yenye urefu wa Km 70.5 kukamilisha ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami. Alisema hayo wakati akikagua ujenzi wa barabara ya Tunduru-Mangaka-Mtambaswala inayojengwa kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Km …
Barabara za Mzunguko Kuanza Kujengwa Dar Juni
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amesema ujenzi wa barabara za mzunguko (ring roads) zenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katikati ya Jiji la Dar es Salaam utakamilika baadae Mwezi Juni mwaka huu. Amesema kufuatia Serikali kuanza kulipa madeni ya makandarasi amewataka makandarasi wote kurudi kazini ili kufikia lengo la Serikali la kukamilisha barabara hizo mwezi …
Prof. Makame Mbarawa Awakomalia Makandarasi Mtwara
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amewataka makandarasi wanaojenga barabara za Mangaka-Mtambaswala KM 62.7 na Mangaka-Nakapanya Km 70,5 kukamilisha ujenzi huo ifikapo Juni mwaka huu. Amewataka makandarasi hao kuongeza rasilimali watu na vifaa ili ujenzi huo ukamilike kama ilivyopangwa katika mkataba wa ujenzi wake. “Hakuna muda utakaoongezwa nataka miradi yote miwili iwe imekamilika ifikapo juni mwaka huu …
- Page 1 of 2
- 1
- 2