Msanii ‘Banza Stone’, Ramadhan Masanja Azikwa Dar

MSANII nyota wa muziki wa dansi nchini aliyefariki dunia jana jijini Dar es Salaam, Ramadhani Masanja au maarufu kwa jina la Banza Stone amezikwa leo jioni katika makaburi ya Sinza jijini Dar es Salamm. Mazishi ya Banza Stone ambayo yamehudhuriwa na baadhi ya wasanii nyota, viongozi ambalimbali na wananchi yamevuta hisia za wengi hasa wapenzi wa muziki wa dansi. Tayari …

Mama Salma Kikwete Ashiriki Msiba wa ‘Banza Stone’

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akilakiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrer Mngereza alipowasili kujiunga na familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja “Banza Stone” Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015. Marehemu Banza Stone, aliyefariki jana mchana baada ya kuugua kwa muda mrefu,  amezikwa leo jioni …

Msanii Banza Stone Afariki Dunia Leo Dar..!

MSANII maarufu wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja a.k.a Banza Stone amefariki dunia leo mchana jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. Msanii Banza ambaye aliwahi kuzushiwa kifo mara kadhaa amefariki leo nyumbani kwao Sinza Vatican jijini Dar es Salaam na ndugu wa msanii hiyo wamethibitisha kutokea kwa kifo chacke. Banza stone au mwalimu wa walimu …