Wateja wa NMB Sasa Kununua Tiketi Kupitia Banki

BENKI ya NMB imeingia makubaliano na kampuni ya Shirika la ndege ya Fastjet ambapo kwa sasa wateja wake wanauwezo wa kukata tiketi na kufanya malipo kupitia benki ya NMB. Ushirikiano huo unawawezesha wateja wa Benki ya NMB na wasio wateja wa benki hiyo kulipia tiketi zao kupitia mtandao wa kibenki. Akizungumza katika hafla ya kusaini makubaliano hayo juzi jijini Dar …

NMB Yazinduwa Kituo cha Biashara Mkoa wa Mbeya…!

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa NMB Business Center Mkoa wa Mbeya akizungumza na wafanyabiashara katika uzinduzi huo Mkuu wa Idara ya Biashara Bw. James Meitaron akimfafanulia jambo Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Bi. Ineke Bussemaker. Anaeshuhudia katikati ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi wa benki hiyo Bw. Abdulmajid Nsekela. Mgeni rasmi …

NMB Yazinduwa Pamoja Akaunti Kusaidia Vikundi

  BANKI ya NMB kwa kushirikiana na Shirika la Care imeanzisha akaunti ya kikundi ijulikanao kama ‘NMB Pamoja Account’ itakayowasaidia wajasiliamali kwenye vikundi vidogo vidogo kuifadhi fedha zao salama na kuzitumia muda wowote bila vikwanzo tofauti na hapo awali ambapo vikundi hivyo vilikuwa vikiifadhi kwenye maboksi na chini ya mito ya vitanda majumbani mfumo ambao haukuwa salama. Akizungumza katika hafla …