NMB Yafanya Mkutano Mkuu wa Wanahisa Jijini Dar es Salaam

               Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ineke Bussemarker (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa 16 wa benki hiyo. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Fedha wa benki hiyo, Waziri Barnabas.  Ofisa Mkuu wa Fedha wa benki hiyo, Waziri Barnabas (kulia), akizungumza na wanahabari.  Wanahabari wakichukua …

NMB Yashiriki Maonesho ya Wakulima na Wafugaji Kilimanjaro

Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi, Emanuel Kashusho akikabidhi zawadi ya T-shirt, Kalamu na Key holder kwa mgeni rasmi, Wencelaus Lindi mara baada ya kutembelea banda la Benki hiyo na kupata maelezo namna inavyoshirikiana na wakulima katika kukuza mitaji yao. Mgeni rasmi ,Wencelaus Lindi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Benki …

NMB Yatoa Ofa ya Uwekezaji kwa Wananchi…!

                BENKI ya NMB imetoa ofa ya hati fungani kwa wananchi wanaotaka kuwekeza kwa muda wa miaka mitatu katika mtaji wa benki hiyo, huku wakijipatia faida ya asilimia 13 ya fedha waliyowekeza kwa kila miezi sita. Ofa hiyo imefunguliwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Bi. Ineke Bussemaker. Alisema …