BENKI ya NMB imetoa kiasi cha shilingi milioni 10 ikiwa ni kuwasaidia watoto mapacha wanne waliozaliwa na familia ya Bwana Abednego Andrew Mafuluka mkazi wa Kimara Mwisho, jijini Dar es Salaam. Familia hiyo iliamua kuomba msaada baada ya Bi. Sara Dimosso mke wa Andrew Mafuluka kujifungua mapacha wanne ambao wameelemewa kimalezi huku wakiwa na kipato …
NMB Yawajaza Mapesa Washindi wa Pata Patia Maonesho ya Sabasaba
BENKI ya NMB imetangaza washindi wa droo nyingine ya mchezo wa bahati nasibu wa Pata Patia na kuwajaza mpesa washindi watatu wa mchezo huo katika Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika viwanja wa Mwalimu Julias Nyerere eneo la Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Zoezi la kuwakabidhi zawadi hizo lililofanyika ndani ya Banda la NMB ‘Sabasaba’ …
Wateja NMB Sasa Kupata Huduma za Vifurushi vya Star Times…!
BENKI ya NMB Tanzania imeingia makubaliano ya kibiashara na kampuni ya Star Times ambapo kwa sasa wateja wa Star Times wanaweza kulipia huduma hizo kwenye tawi lolote la Benki ya NMB au moja kwa moja kwa wajeta wa NMB waliojiunga na huduma za kibenki kwa njia ya simu za mkononi. Ushirikiano huo umezinduliwa jijini Dar es Salaam Makao Makuu ya …