NMB Yakabidhi Madawati 660 Shule Saba za Wilaya ya Kasulu

    BENKI ya NMB imekabidhi madawati 660 kwa wilaya ya Kasulu kama mchango wake kwa serikali katika kukabiliana na uhaba wa madawati nchini. Madawati hayo yaliyogharimu kiasi cha shilingi Milioni 35 ni mahususi kwa shule za msingi tano na sekondari mbili za wilayani kasulu yenye nia ya kuwapunguzia uhaba wa madawati waliyonayo. Akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya madawati …