Bunge Sports Club yaibuka Kidedea Mechi za Kirafiki na NMB
TIMU ya Bunge Sports Club inayojumuisha timu ya mpira wa miguu, mpira wa pete na kikapu imeibuka washindi na kunyakua vikombe vitatu katika bonanza lililozikutanisha timu ya Bunge na timu ya Benki za NMB. Timu ya kwanza ya Bunge kushinda kikombe ilikuwa timu ya mpira wa pete ambaye iliifunga timu ya pete ya NMB magoli 19 …
Wafanyakazi NMB kuchangia upasuaji wa watoto wenye mdomo Sungura
WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB katika kitengo cha Corporate Support wamedhamini upasuaji wa watoto wanne wenye midomo Sungura waliokuwa wamelezwa katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam. Akizungumzia udhamini huo, Meneja Mwandamizi wa Idara ya Usimamizi wa Majengo NMB, Elizabeth Lukaza alisema ufadhili huo ni sehemu ya utaratibu ambao wamejiwekea wao kama wafanyakazi wa kitengo cha Corporate …
NMB yapata taarifa bora za hesabu za kibenki robo ya kwanza -2017
• Yapata faida ya shilingi bilioni 40.9 kwa miezi Mitatu • Ni ongezeko la asilimia 4 BENKI ya NMB imepatafaida ya shilingi Bilioni 40.9 kwa miezi mitatu ya mwanzo wa mwaka ikiwa ni ongezeko la 4% ya faida ukilinganisha na kipindi kama hicho Mwaka jana – 2016 ambapo NMB ilipata faida ya shilingi Bilioni 39.3. Mkurugenzi wa Benki ya …
NMB Yakabidhi Jengo la Kupumzikia Wagonjwa JKCI
Na Mwandishi Wetu BENKI ya NMB jana ilikabidhi Jengo maalumu la kupumzikia wagonjwa wa nje na wasaidizi wao wanaowaleta wagonjwa kupata huduma katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ililopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Akikabidhi jengo hilo lenye uwezo wa kuhifadhi watu 100 kwa pamoja wakiwa wamekaa kusubiri huduma, …