Na Mwandishi Wetu BENKI ya NMB imezidi kung’ara nchini huku ikifanikiwa kutanua mtandao wake kwa kufungua matawi mapya matatu katika mikoa ya Kigoma, Tabora na Simiyu. Uzinduzi wa matawi hayo ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo kufunguliwa kwake kutaleta neema kwa wakazi wa maeneo hayo. Mkoani Kigoma benki hiyo ilizindua tawi jipya Wilaya ya Uvinza, Tabora (Igunga) katika …
NMB YASHINDA TUZO YA BENKI BORA YA MAENDELEO AFRIKA 2017
BENKI ya NMB PLC imeshinda tuzo mbili katika sherehe za utoaji wa tuzo wa benki bora duniani zilizofanyika Jijini London, Uingereza. NMB Imetajwa kwa mara ya kwanza kuwa ni Benki Bora ya Maendeleo Barani Afrika huku tuzo ya pili ikiwa ni Benki Bora Tanzania 2017 hii ni mara ya Tano Mfululizo. Kila Mwaka, Jarida la Euromoney huandaa hafla ya …
Walimu waombwa kuisaidia NMB kutoa elimu kibenki
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewashauri walimu kuisaidia Benki ya NMB kutoa elimu ya masuala ya kibenki na hasa umuhimu wa kujiwekea akiba kwa jamii wakiwemo watoto ili iweze kuwasaidia hapo baadaye. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Profesa Eleuther Mwageni …
WAZAZI WASHAURIWA KUTUMIA AKAUNTI YA MTOTO
BENKI ya NMB imewashauri wazazi na walezi kuwafungulia watoto wao akaunti mbili mpya ambazo zimeanzishwa na benki hiyo ya Mtoto Akaunti na Chipukizi Akaunti kwa ajili ya kutumia kuwawekea fedha watoto wao. Hayo yamesemwa na Mratibu wa Elimu ya Fedha wa benki ya NMB, Ryoba Mkono baada ya kutoa elimu ya fedha kwa wazazi na watoto kwenye maonesho ya 41 …
Naibu Katibu Mkuu CCM, Mpogolo aipongeza NMB kuanzisha Fanikiwa Account
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo ameipongeza Benki ya NMB kwa kuanzisha akaunti ya Fanikiwa kwani ina lengo la kuwagusa watu wa kipato cha chini ambao ndiyo sehemu kubwa ya wananchi wa Tanzania. Mpogolo ameyasema hayo baada ya kutembelea banda la benki ya NMB kwenye maonesho ya Saba Saba ambapo alipata fursa ya kupata elimu kuhusu …