Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana na Walemavu Atembelea Banda la NSSF

     Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama (kulia) akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara mara baada ya kuwasili katika banda la Shirika hilo. Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifashi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akisalimiana …

Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii Lavuta Wengi Sabasaba

 Tuzo ilizopata NSSF katika Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa.     Baadhi ya maofisa wa NSSF wakiwa katika picha ya pamoja.  Ofisa Masoko Mwandamizi, Amina Mmbaga akimsiliza mmoja wa wanachama wa NSSF.  Ofisa Mauzo wa NSSF,Abbas Ramadhani (kushoto), akitoa maelezo kwa mmoja wa wanachama waliofika katika banda la NSSF.  Ofisa Uwekezaji wa Shirika la Taifa la hifadhi ya Jamii (NSSF), …

NSSF Wahamasisha Uandikishaji Wanachama wa Hiyari Temeke

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye foleni kwa katika banda la NSSF kwa ajili ya kujiunga na mfuko huo katika kampeni maalumu ya kuelimisha na kuandikisha wanachama wa Hiari kampeni zilizoanzia Wilaya ya Temeke kwenye viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam.  Afisa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Aisha Sango (kulia), akiwajazia fomu baadhi ya wanachama wapya …