Hotuba ya Waziri wa Fedha Akiwakilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi 2014/15 (Bajeti-2014/15)

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15 12 JUNI, 2014 DODOMA 1 I. UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lijadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 2014/2015. Pamoja na hotuba hii, nimewasilisha vitabu …