UN Kuainisha Eneo Kukumbuka Biashara ya Utumwa

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon amesema UN itaainisha eneo maalum na la kudumu mahususi kwa ajili ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara za utumwa zilizoendeshwa Bahari ya Atlantiki. Ki-moon ametoa kauli hiyo kwenye hotuba yake maalum aliyoitoa leo kwenye tukio la kumbukumbu ya kuwakumbuka waathirika wa utumwa na biashara zake zilizoendeshwa eneo la Bahari ya …