Dunia Haiwezi Kuwepo Bila Uwepo wa Bahari – UNESCO

DUNIA endelevu haiwezi kuwapo kama hakutakuwepo na bahari yenye kuendeleza uhai. Miezi michache kabla ya kufanyika kwa kongamano la kihistoria la COP21 (21st Conference of the Parties to the United Nations Framework Convention on Climate Change) la kutengeneza ajenda mpya ya maendeleo endelevu, ujumbe huu ulikuwa hauna tija. Lakini sasa ujumbe huu una tija sana na muhimu sana. Iwe nchi …