Vizimbuzi ya StarTimes Vyapelekwa Bagamoyo

Na Dotto Mwaibale KAMPUNI ya Vizimbuzi ya StarTimes Tanzania imetoa vizimbuzi 50 kwa bei ya sh.50,000 kwa vijiji vitatu vya Matimbwa, Chasimba na Yombo vilivyopo Bagamoyo mkoani Pwani. Akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vizimbuzi hivyo kwa wananchi wa vijiji hivyo, Meneja Mauzo wa Kampuni hiyo Tang Jing Yu alisema lengo lao kubwa ni kusogeza huduma ya kidigitali kwa …

Watakaoguswa na Mradi wa Bandari Bagamoyo Kujengewa Nyumba

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe amewathibitishia wakazi wa Bagamoyo kuwa wale wote watakaoguswa na mradi wa ujenzi wa bandari mpya watalipwa fidia na wengine watajengewa nyumba kwenye maeneo ya mji huo. Akizungumza na wandishi wa habari badaa ya kukutana na Mkurugenzi wa Kampuni ya China Merchants Group itakayosimamia ujenzi huo, Dk Hu Jianhao, Membe …

Mathew Yungwe Ajitosa Kumng’oa Dk Shukuru Kawambwa Bagamoyo

Meneja wa  Kampeni wa Mtangaza nia huyo, James Mbuligwe (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.  Katibu wa Sera na Mipango wa Mtangania huyo, Paul Kassanga(kulia), akizungumza kwenye mkutano huo.  Mzee Abdallah Ngumbe akizungumza katika mkutano huo na wakati akimpa ushauri mbalimbali mtangaza nia huyo.  Profesa Sameheni Kejeli akizungumza katika mkutano huo.  Mzee Hussein Lugome akizungumza katika mkutano huo.  Mama mzazi wa …

Maiti Yazinduka Ikiandaliwa Kuzikwa Bagamoyo…!

Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo MAAJABU yametokea Mjini Bagamoyo baada ya mtu aliyefahamika kwa jina moja, Bi. Hatujuani kuzinduka na kuanza kupumua wakati maiti yake ikioshwa tayari kwa kuzikwa. Tukio hilo limetokea eneo la Majani Mapana jana baada ya mwanamama huyo kufia hospitalini tarehe 28 na daktari kuthibitisha na msiba kuanza nyumbani kwa wanafamilia huku taratibu za mazishi zikifanywa ili azikwe. …

Kongamano la 31 la Kisayansi Bagamoyo Laendelea

Maximilian Mapunda kutoka shirika la Afya Duniani (WHO-Country Officer) akiwasilisha mada kwenye kongamano hilo. Na Andrew Chale, Bagamoyo Pichani ni baadhi ya picha za matukio ya siku ya pili, jana Novemba 25 kwenye kongamano la Kisayansi la 31, ’31th Annual Scientific Conference and Annual General Meeting’.. lililoandaliwa na Tanzania Public Health Association (TPHA). Mkutano huo unafanyika mjini hapa Bagamoyo katika …