Baba Watoto Center Inavyosaidia Watoto wa Mazingira Magumu

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Baba Watoto Center, Bw. Mgunga Mwamnyenyelwa kilichopo Mburahati kwa Jongo Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam, akizungumzia juu ya kituo hicho kinavyo fanya kazi ya kuwakusanya watoto na kuwajengea uelewa zaidi na kuwafundisha vitu mbalimbali kama Ngoma, Sarakasi, ushonaji ili baadaye waweze kujitegemea. Meneja mradi wa Fit For Life Habiba Issa akielezea kwa kina juu …