Mlizi wa Mwl Nyerere Aelezea Alivyomuokoa Toka kwa Waasi

MLINZI mkuu wa zamani wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Peter Bwimbo (87) ameandika kitabu kwa mara ya kwanza akiweka wazi jinsi Mwalimu alivyotoroshwa kutoka katika mikono ya wanajeshi walioasi katika Maasi ya Jeshi ya mwaka 1964. Kitabu hicho: “ Peter D.M Bwimbo: Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere” kimechapwa mwaka huu nchini na Kampuni ya Mkuki na Nyota na …

Maonesho Kumuenzi Baba wa Taifa Kufanyika Okt. 13

Na Anna Nkinda – Maelezo TAASISI ya Mwalimu Nyerere kwa kushirikiana na Makumbusho ya Taifa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wameandaa maonesho na mdahalo wa kukumbuka na kuenzi mchango wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kujenga, kutetea, kulinda na kudumisha amani Duniani.   Maonyesho hayo ya siku tano ambayo yatafunguliwa tarehe 13 na …