Msanii ‘Banza Stone’, Ramadhan Masanja Azikwa Dar

MSANII nyota wa muziki wa dansi nchini aliyefariki dunia jana jijini Dar es Salaam, Ramadhani Masanja au maarufu kwa jina la Banza Stone amezikwa leo jioni katika makaburi ya Sinza jijini Dar es Salamm. Mazishi ya Banza Stone ambayo yamehudhuriwa na baadhi ya wasanii nyota, viongozi ambalimbali na wananchi yamevuta hisia za wengi hasa wapenzi wa muziki wa dansi. Tayari …