Rais Kikwete Arejea Baada ya Ziara ya Australia

AKIWA nchini Australia Rais Kikwete alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Australia, Bwana Tony Abbot ambaye alimpongeza kwa kuamua kukabidhi madaraka kwa kiongozi mwingine kwa mujibu wa Katiba nchini Tanzania. Rais Kikwete pia alikutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Gavana Mkuu wa Australia Mheshimiwa Peter Cosgrove, kabla ya kukutana na wawekezaji wakubwa wa Australia ambao tayari wanawekeza …

Rais Jakaya Kikwete Ziarani Nchini Australia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete aliondoka nchini usiku wa Jumamosi, Julai 25, 2015, kwenda Australia ambako anaanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne, Julai 27, 2015. Rais Kikwete anafanya ziara hiyo rasmi ya Kiserikali katika Jumuia ya Madola ya Australia (The Commonwealth of Australia) kwa mwaliko wa Jenerali Sir Peter Cosgrove AK MC (Mstaafu), …