Pinda Amzika Askofu Mstaafu Mwalunyungu Iringa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka Watanzania wasikilize na kufuata mafundisho yanayotolewa na viongozi wa dini ili Tanzania iwe nchi yenye watu waadilifu na wenye hofu ya Mungu. Ametoa wito huo Februari 20, 2015 wakati akizungumza na maelfu ya waumini na wananchi waliohudhuria ibada ya mazishi ya Askofu Mstaafu Magnus Mwalunyungu kwenye kanisa la Moyo Mtakatifu wa Yesu la Tosamaganga, Jimbo …