Askofu Sangu Akabidhiwa Jimbo la Shinyanga, JK Ashiriki

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili, Aprili 12, 2015 ameungana na maelfu ya waumini wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Shinyanga, kuhudhuria Ibada rasmi ya kumweka wakfu na kumsimika Askofu mpya wa Jimbo hilo, Mhashamu Baba Askofu Liberatus Sangu. Rais Kikwete amewasili kwenye Kanisa Kuu la Mama Mwenye Huruma, Ngokolo, mjini Shinyanga kiasi cha saa …

Maaskofu Kumuangukia IGP Kumnusuru Gwajima…!

 Maaskofu na wachungaji wa makanisa ya kipentekosti wakiingia ukumbini katika Hoteli ya Tamari iliyopo Mwenge tayari kwa kutoa tamko lao.  Askofu Dk. Paul Shemsanga akizungumza katika mkutano huo ambapo maaskofu hao walitoa tamko lao.  Wachungaji mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo.  Wachungaji mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo.    Baadhi ya maaskofu wakiwa kwenye mkutano huo.    Na Dotto Mwaibale  MAASKOFU wa …

JK Atuma Salamu za Pongezi kwa Askofu Liberatus Sangu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Pongezi Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (T.E.C) na Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Baba Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa, kufuatia uteuzi uliofanywa na Baba Mtakatifu Francis, wa Padre Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki la Sumbawanga kuwa Askofu Mpya wa Jimbo Katoliki la Shinyanga. Askofu …