Asasi za Kiraia na Taasisi Binafsi Zatakiwa Kuwa Wazi

Na Beatrice Lyimo, Maelezo RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete amawaasa Asasi za kiraia na Taasisi binafsi kuwa wazi katika masuala yao katika shughulizao kwa wananchi ili kuleta maendeleo nchini. Rais Kiwete amesema hayo wakati akifungua mkutano wa siku mbili wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere …

Soma Mapendekezo ya Ilani ya Asasi za Kiraia kwa Wanasiasa

SIFA ZA KIONGOZI ANAYEFAA CHAGUZI ni sehemu kuu ya michakato ya kidemokrasia duniani kote. Sisi asasi za kiraia tukiwa watetezi na wasimamizi wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, hatumuungi mkono mgombea yeyote wala chama chochote cha kisiasa kinachotafuta kuingia madarakani wala hatulengi kuchukua dola. Kwa ujumla wake, uchaguzi huundwa na wadau wengi lakini makundi makuu mawili ni wapiga …