Udhamini wa Lowassa Arusha ni Noma, WanaCCM 120,335 Wamdhamini

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) sambamba na Mkewe Mama Regina Lowassa, wakiongozana na viongizi mbali mbali wa Chama wa Mkoa wa Arusha waliofika kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa KIA, wakati akitokea Mkoani Dodoma kuhudhulia vikao cha Bunge na kupigia kura bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha …

TAREHE MPYA YA MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lina furaha kuwatangazia wadau wake tarehe mpya za Mkutano wa Tano wa Wadau. Wapi: Simba Hall, AICC- Arusha Tarehe: 2 Juni -4 Juni, 2015. Mgeni Rasmi: Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa maelezo zaidi wasiliana na; Meneja Kiongozi, Idara ya Uhusiano na Huduma kwa …

Ngorongoro Marathon Kufanyika Aprili 18 Arusha

Waandaaji wa mbio za kimataifa za Ngorongoro Maratahoni katika mkutano na wanahabari kuzungumzia maandalizi ya mwisho ya mbio hizo zinazotarajia kufanyika Aprili 18 mwaka huu ,Karatu mkoani Arusha. Mkurugenzi wa Zara Tanzania Adventure na Zara Charity,Zainab Ansel akizungumza na wanahabari kuhusu maandalizi ya mbio hizo ambazo zinadhaminiwa na Shirika lisilo la kiserikali la Zara Charity . Mratibu wa Mbio za …

Arusha Yachaguliwa Kujiunga Mtandao wa Miji 100 ya Kustawi Kiuchumi

  MJI wa Arusha umechaguliwa pamoja na miji mingine 32 kujiunga na mtandao wa miji 100 ya kustawi kiuchumi. Tangazo hilo limetolewa wakati wa Mkutano wa Kilele wa Taasisi ya Rockefeller Foundation mjini Singapore.   Hili wimbi la pili la majiji litaungana na majiji 32 ambayo yalishinda Changamoto ya Majiji 100 yaliyoweza kustawi tena kiuchumi mwaka jana na kutengeneza mtandao unaokua …

Matukio Mkutano wa Wanachama na Wadau wa PPF

Naibu Waziri wa Fedha Nchini, Mh Mwigulu Nchemba ambae pia alikuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akifungua Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, Jijini Arusha.   Naibu Waziri wa Fedha, Mh Mwigulu …